Hawa wajumbe wa bunge la katiba vipi?

Hawa wajumbe wa bunge la katiba vipi?

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
2,325
Reaction score
723
Sospiter Muhongo leo anaonekana kuwa ni mwenye akili nyingi,ameonekana kushangaa muda unaopotezwa pale.

Hata mwakilishi wa baraza la wafanyakazi nimemwona ana akili,alisema kwanini kama kamati ya kanuni bado nawao ukumbini waendelee kujadili kuhusu hizo kanuni lakini ombi lake limetupilia mbali na Ameri Kificho.

Kwanini wanakaa bure wanaranda randa tu mitaa ya Dodoma?Zaidi ya Tsh 190,000,000 zinatumika kwa siku moja halafu watu wakae bure na sasa mpaka Ijumaa.
 
Back
Top Bottom