Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Marufuku kwa Kenya Airways bado ipo pale pale. Akili zitawakaa sawa tu na kile kizungu chao cha ugoko.
=======
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania #TCAA Hamza Johari, amesema bado kuna katazo la safari za shirika la ndege la Kenya kuingia nchini baada ya nchi hiyo kutoiorodhesha Tanzania kwenye nchi zinazoruhusiwa kuingia nchini humo baada ya makali ya janga la corona kupungua.