Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe ulilia sana humu jamvini 2007 wakati mapanga yalipokuwa yanatembea huko kwenyu. Unakumbuka, au unajifanya umesahau?Majamaa mna vichekesho sana.
Enjoy banning KQ as Kenya is finding new revenue streams
Simba to assemble Sh1m Malaysian car in Kenya from Nov
In Kenya tuna Jenga viwanda, Sio viwonder
Mnajenga kiwanda cha ndege[emoji38][emoji38][emoji38]Majamaa mna vichekesho sana.
Enjoy banning KQ as Kenya is finding new revenue streams
Simba to assemble Sh1m Malaysian car in Kenya from Nov
In Kenya tuna Jenga viwanda, Sio viwonder
Inaonekana mumepoteza matumaini na KQ sasa mnafikiria kuwekeza nguvu zenu kwenye viwanda,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majamaa mna vichekesho sana.
Enjoy banning KQ as Kenya is finding new revenue streams
Simba to assemble Sh1m Malaysian car in Kenya from Nov
In Kenya tuna Jenga viwanda, Sio viwonder
Wanaficha kwasababu wanaathirika pakubwa wazungu wakijua ukifika Kenya TZ ukanyagi watakosa watalii ndio maana wanatangaza mgogoro umeisha na wanaweka ratiba hewaJuzi nilishangaa nilipoona kwenye ratiba yao kuna ndege za KQ kuelekea Tanzania. Kumbe ni uongo uongo waliouzoea kwa wageni. Sasa ni wakati wa kuweka vitu wazi.
Wanaficha kwasababu wanaathirika pakubwa wazungu wakijua ukifika Kenya TZ ukanyagi watakosa watalii ndio maana wanatangaza mgogoro umeisha na wanaweka ratiba hewa