Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hili toleo bado halijazeekaNiwaulize vijana wangu, maana sijawahi kuwaona.
👇🏾
Hivi watu wa namna hii wakizeeka huwa wanaenda wapi?.
Thubutu.Ndege wafananao huruka pamoja,
Watawapata wa kufanana nao wataoana.
Malaya hazeeki mzee wanguNiwaulize vijana wangu, maana sijawahi kuwaona.
👇🏾
Hivi watu wa namna hii wakizeeka huwa wanaenda wapi?.
Huo ni utoto wanakuja kupata majuto ukubwaniNiwaulize vijana wangu, maana sijawahi kuwaona.
👇🏾
Hivi watu wa namna hii wakizeeka huwa wanaenda wapi?.
SwadaktaThubutu.
Mwanaume hutembea na malaya lakini mwisho wa siku huoa mlugaluga🤣
Hawa ukuNiwaulize vijana wangu, maana sijawahi kuwaona.
[emoji1484]
Hivi watu wa namna hii wakizeeka huwa wanaenda wapi?.
Kwenye hizo picha kuna Malaya!?Thubutu.
Mwanaume hutembea na malaya lakini mwisho wa siku huoa mlugaluga[emoji1787]
Nimecheka 😂😂
👇👇Hawa Dada zetu wakifika miaka ya 30 utaskia wakisema mimi nahitaji wakunioa sio kuchezea mwili wangu ili uingie kingi mfunge harusi upoteze gharama za mahali halafu mwisho wa siku unafunua unakutana na bwawa [emoji57][emoji57][emoji57].
Sisi tunasema hivi hatuowii, tutakuwa tunapima kimo cha oil tunasepa mpaka wakome View attachment 2561785View attachment 2561786View attachment 2561787View attachment 2561788View attachment 2561789
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka [emoji23][emoji23]