Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%.
Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali.
Au vibali vyao viko safi tu mbele ya serikali ila kwenye field wamepindua sheria na kufanya wanavyotaka wao kwakuwa serikali ikikamilisha usajili haizifuatilii tena hizi kampuni.