Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Dogo janja mtu poa sana kama umewahi kutana nae, yeye mtu wa kucheka tu hana shida kabisa.
 
Kuna majitu hata huko CHADEMA,ni aheri yaliondoka.

Fikiria CHADEMA ingeshinda, halafu jitu kama Lijuakali liwe waziri wa TAMISEMI, si lingesema kuwa watoto wote ambao wazazi wao ni CCM, wafukuzwe shule!!

Tunaweza tukawa tunailaumu CCM, kumbe hata ndani ya CHAS
DEMA kuna majitu kama Lijuakali bado yamo.
 
Back
Top Bottom