johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wilaya siyo Mkoa 😀Nassari alipoteuliwa Mkuu wa Mkoa wa Bunda akaanza operesheni ya kushushwa bendera za CHADEMA baadaye wakamuhamisha.
Bunda ni mkoa bwashe? au typing errorNassari alipoteuliwa Mkuu wa Mkoa wa Bunda akaanza operesheni ya kushushwa bendera za CHADEMA baadaye wakamuhamisha.
Ana ushamba wa madarakaHapo mwenye upumbavu mwingi ni Lijuakali.
Huyu ni bonge la Mshamba.Hapo mwenye upumbavu mwingi ni Lijuakali.
Hao wote nadhani ni Graduates. Sasa sijui una maanisha nini?Ukuu wa wilaya unatakiwa uwe na elimu gani
Mkalipa ,DC Meru ni Graduate mkuu😳Hao wote nadhani ni Graduates. Sasa sijui una maanisha nini?
Ameoa bint wa Ndugai 🐼Hapo mwenye upumbavu mwingi ni Lijuakali.