Ulihitaji ticha alegeze? Utazalisha wanasayansi wanaosoma historia ya sayansi na sio wanasayansi wenye kuweza kuvumbua teknolojia mpya kwa ajili ya taifa.
Darasa langu lilikuwa limegawanywa katika wanafunzi 40 kwa 40 hivyo ilikuwa hakuna chabo ni kujitegemea mwenyewe Tu, so it's possible Bila Nondo.
Anyways waacheni waalimu wananafasi zao kwenye maisha yetu.