Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

magombe junior

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,018
Reaction score
1,042
Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.

Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.

Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea
 
Mkuu nimecheka sana nilivyomaliza kusoma uzi huu,kuna boya flani alinipeleka bila kujua mara tukaingia kwenye ukumbi sijui walikuwa na semina ,
Wanavyocalculate mambo ya hela ukiwa na kichwa cha panzi asee utasema kesho tu nikilala naamka tajiri dadeki njoo kwenye uhalisia sasa,

Eti kapafyumu kadoncho kinyama kanauzwa elfu 15 dadeki nani anunue kwa usawa huu.
 
🤣🤣🤣 vijana wana matumain gorofa aisee,yan nikama wanaish kwenye ndoto,wanatembea kwa kujitutumua yan mm nimekaribia kumcheka mmoja,mana naona sut kaunga unga alaf ukimuangalia kwa makin hana furaha kabisaaa uson [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna wajinga kama hawa Mimi huwa wakianza mizuka yao nawaambia komea hapo hapo ukiendelea nakumaliza acheni wizi huu ni wizi tu wa leseni

Hahaha mkuu awa jamaa wanahitaj msaada wakisaikolojia aisee,wanaambiwa wavae wapendeze ndo ela zitakuja,et ata wanaowaleta wakiwaona muonekano wanajua kabisa apa hela tu🤣🤣🤣
 
Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.

Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.

Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea
Hawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.

Wapuuzi hushindana kunikaribisha kuhudhilulia seminars zao ,

Kuwakomesha huwa nawaomba sh 150,000 kama nauli na gharama ndogo ndogo ili nifike ofisini kwao kwa sababu najua hawana hata 10,000.
 
🤣🤣🤣🤣 mkuu umeua,150 wanatoa wap aisee,nna jamaa zangu waliingia kichwa kichwa saiz ukimuuliza vp acc inasomaje wanaishia kucheka tu kua waliwezwa
 
Mtaani kwangu napoishi kuna ofisi kama mbili za hawa jamaa kusema kweli hawa vijana wanapata tabu sana maisha yao ni kuungaunga tu sijui akili zao zimeingizwa mdudu gani kiasi cha kuamini kuna utajiri wa namna hii duniani
 
Hawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.

Wapuuzi hushindana kunikaribisha kuhudhilulia seminars zao ,

Kuwakomesha huwa nawaomba sh 150,000 kama nauli na gharama ndogo ndogo ili nifike ofisini kwao kwa sababu najua hawana hata 10,000.
Hao ata ukiomba buku ya nauli ya kurudia maskani ukitoka kwenye semina yao hawana mkuu
 
Mtaani kwangu napoishi kuna ofisi kama mbili za hawa jamaa kusema kweli hawa vijana wanapata tabu sana maisha yao ni kuungaunga tu sijui akili zao zimeingizwa mdudu gani kiasi cha kuamini kuna utajiri wa namna hii duniani

Aisee wanatia huruma sana,ndo mana tunasema wanahitaj msaada wakisaikolojia
 
Nayo ni biashara kama biashara zingine tu; wako waliofanikiwa na wako ambao hawajafanikiwa, inategemea tu....
 
kuna ndugu yangu mmoja huwa ananitoa machozi kwa huo ujinga,asikii wala haelewi mwaka wa pili sasa kawa kama msukule.
Mkuu kapagawa na yale mahesabu wanayopigiwa wakiwa kwenye semina alafu wanachowateka zaidi lecture wao huwa wanakuwa machalii na suti zao za kuazima yaani akiwaona lazima adate tu.
 
Back
Top Bottom