magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
Mkuu nimecheka sana nilivyomaliza kusoma uzi huu,kuna boya flani alinipeleka bila kujua mara tukaingia kwenye ukumbi sijui walikuwa na semina ,Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.
Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.
Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea
Mkuu nimecheka sana nilivyomaliza kusoma uzi huu,kuna boya flani alinipeleka bila kujua mara tukaingia kwenye ukumbi sijui walikuwa na semina ,
Wanavyocalculate mambo ya hela ukiwa na kichwa cha panzi asee utasema kesho tu nikilala naamka tajiri dadeki njoo kwenye uhalisia sasa,
Eti kapafyumu kadoncho kinyama kanauzwa elfu 15 dadeki nani anunue kwa usawa huu.
Hakuna wajinga kama hawa Mimi huwa wakianza mizuka yao nawaambia komea hapo hapo ukiendelea nakumaliza acheni wizi huu ni wizi tu wa leseni
Hawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.
Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.
Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea
IMAGINENimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.
Hawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.
Wapuuzi hushindana kunikaribisha kuhudhilulia seminars zao ,
Kuwakomesha huwa nawaomba sh 150,000 kama nauli na gharama ndogo ndogo ili nifike ofisini kwao kwa sababu najua hawana hata 10,000.
Mbona sijawahi kukutana nao?? Au wanaangalia na mtu wa kumpigisha saund??
Hao ata ukiomba buku ya nauli ya kurudia maskani ukitoka kwenye semina yao hawana mkuuHawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.
Wapuuzi hushindana kunikaribisha kuhudhilulia seminars zao ,
Kuwakomesha huwa nawaomba sh 150,000 kama nauli na gharama ndogo ndogo ili nifike ofisini kwao kwa sababu najua hawana hata 10,000.
Mtaani kwangu napoishi kuna ofisi kama mbili za hawa jamaa kusema kweli hawa vijana wanapata tabu sana maisha yao ni kuungaunga tu sijui akili zao zimeingizwa mdudu gani kiasi cha kuamini kuna utajiri wa namna hii duniani
kuna ndugu yangu mmoja huwa ananitoa machozi kwa huo ujinga,asikii wala haelewi mwaka wa pili sasa kawa kama msukule.
Mkuu kapagawa na yale mahesabu wanayopigiwa wakiwa kwenye semina alafu wanachowateka zaidi lecture wao huwa wanakuwa machalii na suti zao za kuazima yaani akiwaona lazima adate tu.kuna ndugu yangu mmoja huwa ananitoa machozi kwa huo ujinga,asikii wala haelewi mwaka wa pili sasa kawa kama msukule.