uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Wiki nzima wako wanasikiliza hotuba mara Obama mara Oprah Michele Hilary n.k wiki nzima wako Chicago wanangoja Kamala aje kusema nimekubali kuwa mgombea wa urais nimegundua ccm wako serious kuliko Hawa democrat
Ila pia nimegundua wamarekani wachache sana wanashughulishwa na mgogoro wa Gaza wengi wanaongelea mikopo ya elimu ya juu masuala ya uhamiaji na gharama za maisha
Ila pia nimegundua wamarekani wachache sana wanashughulishwa na mgogoro wa Gaza wengi wanaongelea mikopo ya elimu ya juu masuala ya uhamiaji na gharama za maisha