Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hatari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walivo wabishi watu wa dar 😀Dp world tunawahitaji hawa watusaidie kuwahamisha watu wote wa Dar.
Slava ukraine!!Amphibian
Ndo watapelekewa motoWalivo wabishi watu wa dar 😀
Jwtz ina active personal 25,000View attachment 2670138 Kuuliza siyo ujinga hao wamba ni kikosi kinachohusika na nini pale TPDF?
Hatari!
Wewe mbona hujaandaa kuuza miswaki Somalia unauzia Namtumbo?Ukijibiwa uulize na kwanini hawapelekwagi Somalia,wakalinde kama wenzao wa Uganda?
😁😁😁 watangulie wakaweke mambo sawa,mimi ntaenda.Mambo ya kupigapiga picha,siyo poa,waende field,dadeki.Wewe mbona hujaandaa kuuza miswaki Somalia unauzia Namtumbo?
100%Swali: Kuvaa miwani kunapunguza sifa za kuajiriwa na jeshi?
Kaka zake afande Rama hao🤣🤣Ukijibiwa uulize na kwanini hawapelekwagi Somalia,wakalinde kama wenzao wa Uganda?
Asante kwa jibu, ngoja nitafute plan B100%