Mzee Mwenzangu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 190
- 168
Ili kuwa na waalimu wenye uwezo, serikali inatakiwa iwapange wale wote wenye DIV 1&2 vyuo vya ualimu daraja la tatu A. Wataokwenda Form 5 na kupata DIV 1&2 form 6 nao wapangwe ualimu diploma...
Amini usiamini waalimu waliopo Marian Girls, Feza, St Francis, Kifungilo......na shule kama hizo wengi ni wenye Bachelar Degree. Waliobaki ni watawa wasio na pressure hata chembe ya maisha.
Ni mtazamo tu ktk kuboresha Elimu TZ.