Hawa wanaipenda CHADEMA, wewe je?

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Posts
1,274
Reaction score
274
Vidole viwili juu kama kawa!
 

Attachments

  • gwh108023[1].jpg
    5.2 KB · Views: 65
  • 61671472.0lYeAH46[1].jpg
    4.5 KB · Views: 53
  • man-long-hair_~b12136[1].jpg
    7.1 KB · Views: 58
na mie pia, si unaona hata kwenye avatar yanu hapo

Asante sana kwa kuipenda CHADEMA.....sasa unajua nini kinafuata....ni kuipa kura ifikapo 31 Oct.
 
Asante sana kwa kuipenda CHADEMA.....sasa unajua nini kinafuata....ni kuipa kura ifikapo 31 Oct.

Hayo ndo maneno, jamani naombeni mnitumie adress ya NEC nicheki jina langu kabsaaa wasije niletea zengwe mie
 
Mimi ni mfuasi wa mtu anayeweza kuleta mabadiliko na sio chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…