Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje
Yaani nina siku kidogo siwaoni kabisa hapa jukwaani na haikuwa kawaida yao!Watakuja soon
heeeeeeeeee! kumbeNgoja rafiki zao wa karibu waje kutueleza.
Bujibuji alikabwa akibiwa laptop yake na simu mpka ajichange upya[emoji23]
hahahahahahahahahh, jamani!Wanamaliziwa kusomewa ' albadiri ' zao leo Mkuu.
haaaaaha, watasema "jana na leo"Muda si mrefu watakuja kuitika majina
Huenda wana majukumu yanaowafanya wawe busy kidogoYaani nina siku kidogo siwaoni kabisa hapa jukwaani na haikuwa kawaida yao!
Napata na taarifa za ushimeni kumbe simu yake imezimwa juzi na TCRAheeeeeeeeee! kumbe
Sijui kaenda wapi ntu hatari sana huyu kwa hoja KirangaKuna mtu anaitwa kiranga huyu jamaa sijamuona siku nyingi sana. Nakumbuka kipindi napita jamii intelligence kama guest member nilikua napenda kuona jinsi gani anapangua hoja tofauti tofauti ni muda mrefu sana sijamuona majukwaani
hhahhahahaahhahahNapata na taarifa za ushimeni kumbe simu yake imezimwa juzi na TCRA
kipindi kile alisahaulika
Yupo sema sikuiz kapunguza ubishi ameokokaKuna mtu anaitwa kiranga huyu jamaa sijamuona siku nyingi sana. Nakumbuka kipindi napita jamii intelligence kama guest member nilikua napenda kuona jinsi gani anapangua hoja tofauti tofauti ni muda mrefu sana sijamuona majukwaani