Hawa wanaJF sina siku kitambo siwaoni hapa jukwaani

Kuna mtu anaitwa kiranga huyu jamaa sijamuona siku nyingi sana. Nakumbuka kipindi napita jamii intelligence kama guest member nilikua napenda kuona jinsi gani anapangua hoja tofauti tofauti ni muda mrefu sana sijamuona majukwaani
 
Sijui kaenda wapi ntu hatari sana huyu kwa hoja Kiranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…