Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Wale wote wageni wa JUKWAA letu hili penda la CHITCHAT nawakaribisha sana jukwaa hili.Humu ni sehemu salama kabisa ya kuchati chochote unachojisikia ila usivunje sheria za JamiiForums.com.
Hahahahaha karibuni sana kwenye band yetu JamiiForums
Wakuu naomba katika uzi huu tuchangie kistarabu usije ukafutwa tena.Usitukane wala nini just cool down
Kwa sababu zinazojulikana za tabia za hawa watu naomba wakifungua band wakawa pamoja band yao itapata umaarufu zaidi na itakuwa ni band yenye mafanikio mno
Hawa ni baadhi ya members kwenye hiyo band(Hawa kwa namna moja au nyingine wanafanana vitu vingi sana hapa JF)
1.Money Penny(Master wa band)
2.Deogratias Kisandu
3.Beira Boy
4.HR666
5.LEMUTUZI
6.Sexless
7.Padri Mcharo
8.Gudume
9.kikoozi
10.alonso14
11.
Hii band bado haijakamilika hivyo jazia watu wenye sifa za kujumuishwa kwenye hii band.
Karibuni kujazia Band members!
Deadbody,
JamiiForums.