So tusiokuwamo hatujulikani kaah![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]tutake radhi!Tatizo haujulikan wajameni
Nakazia hapoSo tusiokuwamo hatujulikani kaah![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]tutake radhi!
Na mimi shem sijulikani sioTatizo haujulikan wajameni
Unaikubali sana eeh mumu?Agha Morocco[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla sijajibu ebu Demiss aje atoe muongozo kwanza..hahaaUnaikubali sana eeh mumu?
Naunga mkono hojaKabla sijajibu ebu Demiss aje atoe muongozo kwanza..hahaa
Wifi Demiss ukuje tafadhali...Naunga mkono hoja
Crotia ndio nchi gani hapa duniani?Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:
1. Mshana Jr -Crotia
2. Hajar -Belgium
3. GENTAMYCINE -Panama
4. Demiss - England
5. Davet - Germany
6. Humble African - Russia
7. mumu -Morocco
8. Mwifwa -Portugal
9. Hazard fc -Spain
10. Mama Sabrina -France
11. Shunie - Brazil
12. hearly -Nigeria
13. Mzigua90 - Peru
14. Kiranga -Japan
15. GuDume -Egypt
Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.