Hawa wanajiita UKG. Je, sio matapeli?

Hawa wanajiita UKG. Je, sio matapeli?

ts_jewish

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
5
Reaction score
3
Nilikuwa naomba kuuliza, kuna hawa wanajiita UKG walikuja kwenye inbox yangu kuna kitu wanahitaji kunishirikisha ni kitu kizuri, lakini ninachotaka kujithibitishia wasije wakawa matapeli.

Msaada wenu wakuu.

Sijaangalia hiyo videox lakini km kuna maswala ya kutoa hela kwanza ,Kimbia speed ya SGR
 
Siwajui ila kwa 99% ni harufu ya utapeli, ukiona unaitiwa fursa huenda wewe ndio fursa yenyewe... We unsona umepata fursa kumbe ni fursana😂
 
Siwajui ila kwa 99% ni harufu ya utapeli, ukiona unaitiwa fursa huenda wewe ndio fursa yenyewe... We unsona umepata fursa kumbe ni fursana😂
Ambacho nilikuwa najiuliza ni huwezi kutoa fedha ulioingiza mpaka wao wakupe nywira.
 
Back
Top Bottom