Hawa wanajiita UKG. Je, sio matapeli?

ts_jewish

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
5
Reaction score
3
Nilikuwa naomba kuuliza, kuna hawa wanajiita UKG walikuja kwenye inbox yangu kuna kitu wanahitaji kunishirikisha ni kitu kizuri, lakini ninachotaka kujithibitishia wasije wakawa matapeli.

Msaada wenu wakuu.

Your browser is not able to display this video.
 
Sijaangalia hiyo videox lakini km kuna maswala ya kutoa hela kwanza ,Kimbia speed ya SGR
 
Siwajui ila kwa 99% ni harufu ya utapeli, ukiona unaitiwa fursa huenda wewe ndio fursa yenyewe... We unsona umepata fursa kumbe ni fursanašŸ˜‚
 
Siwajui ila kwa 99% ni harufu ya utapeli, ukiona unaitiwa fursa huenda wewe ndio fursa yenyewe... We unsona umepata fursa kumbe ni fursanašŸ˜‚
Ambacho nilikuwa najiuliza ni huwezi kutoa fedha ulioingiza mpaka wao wakupe nywira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…