Hawa wanao andikisha majengo sijui pango walichunguze hili?

Mr pinkmoja

Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
10
Reaction score
14
Mtu anakuja kwako umejenga L na choo anakulazimisha nyumba 3 akiziandika wewe unalipa Kodi ya nyumba tatu huu sio Utanzania hata ya miti mmmm!

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
L inakuwaje nyumba 3? Au L iliyondikwa na mtoto?
Mkuu hapo Kuna nyumba 3.
1.Hiyo L
2.Kibanda cha upande wa kulia chenye vyumba vi 2 sijui Kama ni choo au nini lakini kinaonesha ni kijumba
3. Huo msingi wa nyumba ni nyumba ya ya tatu.
 
Shida ni umaskini unaona kila eneo ni la kuweka jengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…