cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Nimegundua kuwa wanaume wenye sifa zifuatazo huwa na wivu wa kishenzi kwa wake/wapenzi zao
(1), Wenye vibamia au ambao wanahisi kutowaridhisha wapenzi zao wawapo sita kwa sita
(2) Ambao hawatoi hela ya matumizi kwa wapenzi zao,eitha awe ana hela au hana ila ana huluka ya kotomjali mpenzi wake,yeye anachotoka kwako ni kwichi-kwichi,huyo anakuchunga sana mpaka hupumui
(3) wanaume wasio na kazi ya kimfanya ajishughulishe au kumuweka bize,atakuchunga mpaka toilet
(4) Wanaume wasio na nguvu za kiume wanawivu hatari,anahisi utadate na mwanaume mwingine na kumuacha
(5) Wanaume wafupi huwa wanawivu na ukorofi,wakihisi tunawadharau,ndo maana madada wengi hawataki kudate na wanaume wafup
(6) wenye ulemavu wa viungo,bora albino,hawa ambao wanamapungufu kwenye miili yao wanawivu sana
(7) mwenye wapenzi zaidi ya mmoja,na hawa wanawivu kwa wapenzi wake wote,yeye anafikiria anachokifanya basi na mpenzi au mke wake huwa anakifanya,halafu wanapenda ugomvi sana