Hawa wanawake ni kama Tissue

Hawa wanawake ni kama Tissue

Namkunda OG

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
827
Reaction score
1,048
Wanawake wa kabila la kijita ni kama Tissue ikisha loana tu haina kazi ..yani mwanamke wa kijita ukimgombeza kidogo tu ashakutishia kurudi kwao mbaya zaidi ukimpiga hata Kofi anabeba vitu vyote nakuondoka sijui huwa wanajiandaa saa ngapi
 
Elezea vizuri, hafu mwanamke ngumi ukimtoa meno akawa kibogoyo
 
Wanawake wa kabila la kijita ni kama Tissue ikisha loana tu haina kazi ..yani mwanamke wa kijita ukimgombeza kidogo tu ashakutishia kurudi kwao mbaya zaidi ukimpiga hata Kofi anabeba vitu vyote nakuondoka sijui huwa wanajiandaa saa ngapi
You must be "Put Out"
 
Tissue sio kilinganishi sahihi kwa "mwanamke" whosoever wa Kijita ama elsewhere, mwanamke ni Mama. Tafuta njia sahihi ya uwasilisho wa hoja yako tafadhali.
 
Put In kwa vile umejiingiza kwenye mtego wa makabila, ngoja nikuulize wewe ni kabila gani kwanza.usije kukuta wewe ndo mwenye matatizo!!! Omurisha unuuuu!!!
 
Tissue sio kilinganishi sahihi kwa "mwanamke" whosoever wa Kijita ama elsewhere, mwanamke ni Mama. Tafuta njia sahihi ya uwasilisho wa hoja yako tafadhali.
wananiuzi watu wanaosema vibaya wanawake
Hakuna mtu muhimu kama mwanamke huku duniani...najua watu wakikua watanielewa
 
Wanawake wa kabila la kijita ni kama Tissue ikisha loana tu haina kazi ..yani mwanamke wa kijita ukimgombeza kidogo tu ashakutishia kurudi kwao mbaya zaidi ukimpiga hata Kofi anabeba vitu vyote nakuondoka sijui huwa wanajiandaa saa ngapi
true true kuna mshikaji wangu anae..yupo hivo hivo
 
Back
Top Bottom