Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao.
Juzi kati niliona India wakiwapokea watu wao.
Hawa wa kwetu mbona hawarudi hadi leo hii au wameambiwa warudi kwa miguu?
Juzi kati niliona India wakiwapokea watu wao.
Hawa wa kwetu mbona hawarudi hadi leo hii au wameambiwa warudi kwa miguu?