Hawa wapendwa wetu kutoka Marekani wanarudi lini?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao.

Juzi kati niliona India wakiwapokea watu wao.

Hawa wa kwetu mbona hawarudi hadi leo hii au wameambiwa warudi kwa miguu?



 
Waje nawenyewe wagaiwe mitungi ya samia! haiwezekani hii offer ndugu zetu waikose..🤣
 
Tanzania 300? Mbona wachache ,hao hata wakirudi huwezi notice .na hao walikuwa huko kinnyemela kwahio zaidi ya watanzania 10,000. Huko wanaishi kwa amani
 
Labda Wamesharudishwa kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…