We mjusi hawa sio mtu mmoja hawa ni watu tofauti sema tu wanashabihiana. angalia miguu yao, hips, mapaja na tabasamu ndio utagundua toafuti ingawa kisura wanashabihiana.
hawa mimi naona ni ma-scout kama wako mazoezini au wakimpokea kiongozi wao.
KUMPIGIA KURA MSECHU ILI AWEZE KUSHINDA TUSKER PROJECT FAME ANDIKA NENO Tusker 9 tuma kwenda namba 15522 Watanzania tumpigie kura mwenzetu wahamasishe na wa nyumbani kwako tuma ujumbe mwingi iwezekanavyo.