Hawa wasanii wapo wapi siku hizi?

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Kwa wale waliokuwa watazamaji wa ATV(Abood Television)ya morogoro miaka ya tisini mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kulikuwa na wasanii waliokuwa wanafanya sanaa ya maigizo pamoja na mzee king majuto, na mzee small(marehemu), wasanii hao ni....
1. Nayaweza
2.Mtajaza
3.Mwanachia
4. Yusuf
5. Kisturi.
Nauliza hawa wasanii wapo wapi na wanafanya shughuli gani? kwakweli sanaa yao ilikuwa nzuri ila walisambaratika baada ya kuacha kazi kwenye kituo cha ATV.
 
mwanachia kafa mda sana ht miaka 6 yapita
 
kuna yule mangushi yupo hadi leo mitaani moro amekuwa mkulima wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…