Hawa watangazaji wako wapi?

Hawa watangazaji wako wapi?

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Hawa watangazaji wako wapi jamani sijawasikia/kuwaona siku nyingi sana?

Mohammed Kisengo (Tanzania)

Blandina Mugezi (Radio one/ITV)

Flora Nducha (BBC)

Idd Ligongo (BBC)

Abubhakhari Liongo (DW Swahili Services)

Florian Caesar (Swahili Deutsche Wele)

Shihab Patansi (CNN/Al Jazeera)

Jonathan Mann (CNN)

Fionuella Sweeney (CNN/BBC?)

Richard Quest (CNN- CNN Traveller)

Mike Hanna (BBC- Middle East reporter)
 
Jonathan Man amefanywa kua Senior Corespondent wa CNN White House, Quest yupo na mambo yake ya Buzzness and Travelling af uyu jamaa alijitangaza shoga.. Nawa miss sana Rosemary Church (CNN), Monita Rajpal(CNN), Tumi Makhgabo (CNN), Mathew Chance(CNN), Suzan Mungi (TBC).
 
Watangazaji wana tendency ya kujitengenezea mashabiki, hivyo ingekuwa vizuri tukawa tunataarifiwa kuwa wako wapi pindi wanapokuwa hawaonekeni kwenye vyombo walivyokuwa wakivitumikia awali. Mashukuru sana ila bahati mbaya lile swali langu kuhusu "enigma codes" bado hjaweza kunifafanulia!
 
Mbona Rose Mary Church yupo na hata leo nimemuona akitangaza. Alafu nadhani sio Richard Quest aliyejitangaza kuwa Gay.
 
Hahaha mkuu kumbe kuna mahala hatukumalizana... Sawa enigma ilikua ni code translator machine jina la mvumbuz limenitoka kdgo ila alikua ni mjeruman waliitumia for coding and decoding massaging hasa kwenye zile u-boat zao (leo submarine) by late 1940's one of the german Cruiser Battle Ship km skosei Bismark ikashambuliwa na Group of british vessels kabla haijazama captain akatoa oder all crew to abandon the ship bas mwingereza akafanikiwa kuchukua kuboard na kuchkua several war details za mjeruman ikiwamo ENIGMA MACHINE ikatumwa back London. Churchill akaunda Special Task Force ya kuichunguza na kuweza kudecod msgs na hapo ndipo mjeruman aliposhindwa vita! Ikawa kila wanachopanga Berlin kinajulikana London na wanapogwa wao kwanza. Kuna kipindi churchill alienda France kwa meetin wakaplan kutuma fighter kuiangusha ndege yake mpango ukajulikana ila ili kuwafumba wasijue kua msgs zao ziko decoded Waingereza wakasingizia ndege mbovu na haikuruka mjeruman akatungua ndege nyngne kimakosa... Sorry maelezo marefu lakin hii ENIGMA ni moja ya ugunduz ulioiingiza dunia kwenye modern Coding Era! Karibu kwa swali lolote mkuu!
 
Mbona Rose Mary Church yupo na hata leo nimemuona akitangaza. Alafu nadhani sio Richard Quest aliyejitangaza kuwa Gay.

Mkuu pale CNN kuna magay wawili.. Quest na bwna mmoja jina limenitoka ananywele nyeupe mfano km wa mvi uyu quest aliwah kukamatwa na sex toys za kiume pamoja na rope na pingu yaan mambo ya ajabu ajabu ndo akajitangaza yy ni gay na hizo item ni kwa slave sex ingawa kwenye broadcasting yuko vzur sana halaf uwa ni mwingereza... Kuna bwana mmoja anatangazaga kipind flan kinaitwa situation room unampata jina nani? Jina lake lina asili km ya Kijeruman hiv mzee mzee jamaa nae namkubali sana!
 
That's Anderson Cooper mkuu!
 
Blandina Mungezi ni Afisa Uhusiano (Public Relation Officer) wa kampuni ya Barrick

Mpaka leo sijawahi kuona mtangazaji wa Redio wa kike aliyempiku. Hongera zake kwa kubadilisha taaluma na kupata bonge la post.
 
Back
Top Bottom