Hawa watangazaji wako wapi jamani sijawasikia/kuwaona siku nyingi sana?
Mohammed Kisengo (Tanzania)
Blandina Mugezi (Radio one/ITV)
Flora Nducha (BBC)
Idd Ligongo (BBC)
Abubhakhari Liongo (DW Swahili Services)
Florian Caesar (Swahili Deutsche Wele)
Shihab Patansi (CNN/Al Jazeera)
Jonathan Mann (CNN)
Fionuella Sweeney (CNN/BBC?)
Richard Quest (CNN- CNN Traveller)
Mike Hanna (BBC- Middle East reporter)
Jonathan Man amefanywa kua Senior Corespondent wa CNN White House, Quest yupo na mambo yake ya Buzzness and Travelling af uyu jamaa alijitangaza shoga.. Nawa miss sana Rosemary Church (CNN), Monita Rajpal(CNN), Tumi Makhgabo (CNN), Mathew Chance(CNN), Suzan Mungi (TBC).
Flora nducha naona kampuni yake under the same sun

Watangazaji wana tendency ya kujitengenezea mashabiki, hivyo ingekuwa vizuri tukawa tunataarifiwa kuwa wako wapi pindi wanapokuwa hawaonekeni kwenye vyombo walivyokuwa wakivitumikia awali. Mashukuru sana ila bahati mbaya lile swali langu kuhusu "enigma codes" bado hjaweza kunifafanulia!
Mbona Rose Mary Church yupo na hata leo nimemuona akitangaza. Alafu nadhani sio Richard Quest aliyejitangaza kuwa Gay.
Mkuu pale CNN kuna magay wawili.. Quest na bwna mmoja jina limenitoka ananywele nyeupe mfano km wa mvi uyu quest aliwah kukamatwa na sex toys za kiume pamoja na rope na pingu yaan mambo ya ajabu ajabu ndo akajitangaza yy ni gay na hizo item ni kwa slave sex ingawa kwenye broadcasting yuko vzur sana halaf uwa ni mwingereza... Kuna bwana mmoja anatangazaga kipind flan kinaitwa situation room unampata jina nani? Jina lake lina asili km ya Kijeruman hiv mzee mzee jamaa nae namkubali sana!
That's Anderson Cooper mkuu!
Flora nducha naona kampuni yake under the same sun