Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Kuielewa rasimu ya katiba inahitaji kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu. Kupiga kura kunahitaji kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu. Sensa ya 2012 inaoesha kuna jumla ya watanzania 5.5m (milioni tano na laki tano) wenye umri kuanzia miaka 15 hawajui kusoma, kuhesabu, na wala kuandika. Miaka mitatu sasa imepita baada ya hiyo sensa, yawezekana namba imezidi, kushuka, ama kubaki palepale; na hao wote kwa sasa wana miaka 18.
Wanaojua kusoma, kuandika, na kuhesabu ni 19.2m kuanzia miaka 15 wakati ule (2012).
Kwa makundi yote haya mawili katika kuandikishwa kupiga kura ni rahisi kwani haiangalii kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu
Maswali magumu:
1. Wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu walioandikishwa, huwa wanapiga vipi kura?
2. Hawa wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu wataielewa vipi rasimu ya katiba inayopendekezwa?
3. Je, maaskofu hawakulenga kundi hili walipotaka watanzania wapige kura ya 'hapana'?
4. je, serikali kuwataka wananchi wapige kura ya 'ndiyo', sio ku-take advantage ya kundi hili?
5. Hivi ukitumia pesa nyingi kuandaa rasimu ya katiba, maanake lazima ipigiwe kura ya 'ndiyo'?
6. je BVR ndio suluhisho la kundi ili katika kupiga kura endapo gadgets za kupigia kura zitakuwa touch screen?