Hawa watu (journalist) wako pande zipi now?

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela,

Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake.
Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
 
Huyo Spencer Lameck alikuwa TBC kipindi fulani, sijajua kwa sasa kama bado yupo huko au la, na Buhohela nadhani enzi za Jiwe alipata kitengo wizara mojawapo kama afisa habari.
 
Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela,

Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake.
Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv.
nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama
 
Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri.

Jitahidini kuyalinda.
 
Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂

Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani?

Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana?

Anyway, google tu utapata taarifa zaidi
wako na mhando dubai
 
Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela,

Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake.
Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
Ni Bohohela
 
Back
Top Bottom