Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv.Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela,
Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake.
Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
Ahahaa,semina juu ya kanuni za chama kwenye chombo cha Taifa tena!!! Mmhwengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv.
nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama
Kashakua fisadi na yeye?Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂
Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani?
Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana?
Anyway, google tu utapata taarifa zaidi
mkuu hicho chombo na chama kidole na peteAhahaa,semina juu ya kanuni za chama kwenye chombo cha Taifa tena!!! Mmh
Sawa mkuu ,yako ntayalinda mimi tafwadhaliImethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri.
Jitahidini kuyalinda.
kumbe!!mkuu hicho chombo na chama kidole na pete
mkuu wa chama si ndo mkuu wa serikali pia, serikali yenye chombo chake
ni uzushi tu
yakiguswa ndo yanakuwa mali ya serikaliImethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri.
Jitahidini kuyalinda.
We mwehu nenda kachambe vikongwe huko vimeshaamka.Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri.
Jitahidini kuyalinda.
Acha porojo wewee linda hayo marinda weweeeSawa mkuu ,yako ntayalinda mimi tafwadhali
Hahaha. Peleka hao mbusii malishoni weweee.We mwehu nenda kachambe vikongwe huko vimeshaamka.
Mbusiiiiiiii umbwaaaa
wako na mhando dubaiUtakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂
Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani?
Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana?
Anyway, google tu utapata taarifa zaidi
Kama wewe siyo CCM damu-damu au Kama una fikra na Miyazaki huru, hauwezi kuwa mfanyakazi wa tbc. Tbc ni idara ya Propaganda ya CCM na Serikali yake.wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv.
nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama
Ni BohohelaHuyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela,
Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake.
Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
Fedha hazinaga MuungwanaKashakua fisadi na yeye?