Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
ulichokiandika ni uongo 💯 %.Hujawahi tofautiana na Joseph kwa lolote hivyo hata hili haishangazi unaposema msikamo wake wako. Tukirudi kwenye mada.. Sijaona mahali walipoonesha kukubali kuwa covid19 imekwisha
Daktari mmoja wa WHO alisema haafiki kutokutoa taarifa za maambukizi ila anamsifu JPM kwa kuwa na msimamo. Akasema lockdown kwa nchi zetu haiwezi leta tija.
Akamalizia yeye anapenda sana mtu anayesimamia maamuzi yake na kutokuyumbishwa, akaenda mbali zaidi kwamba hata kama anachosimamia hakipo sahihi ila kwake ni ule msimamo wa mtu ana uheshim sana kuliko mtu anaebadilikabadilika.
Kama ipo tokea 2018 basi si hatari kivile tulivyoaminishwa.Japokuwa watu wamepuuzia kiasi flani ila ukweli ni kwamba covid19 ipo bado, tunaishi nayo na most likely ilikuwepo TZ tangu 2018. Kuvaa barakoa pekee might not be the most effective way ya kuizuia
Sina uhakika sana, ila ngoja niulize.
Je, nchini Tanzania watu wanakufa kama nzi waliopuliziwa dawa ya kuua wadudu?
Maana kwa hivi sasa sioni tahadhari zozote zile zilizopendekezwa zikichukuliwa na watu nchini Tanzania....
Mashirika ya Ndege ya kimataifa bado yanaitenga Tanzania ni Ndege chache za kimataifa zinakuja hapo Dsm, nyinyi mnasema corona haipo lakini ofisi za Balozi wana taarifa za kwenye jamii kote wanajua corona ipo kwa wingi.Jasusi mbobezi aliwahi kusema Tanzania itatengwa na jumuiya za kimataifa kwa vile tu imechukua hatua tofauti na jumuiya za mataifa mengine katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona
Kweli. Ninawafahamu angalau watu 11 walioipata na kupona baada ya kujidunga mixer za tangawizi, kitunguu swaumu, kitunguu maji, pilipili kichaa na limao. Hii kitu imetuspare waafrica. Wazungu hata flu tu huwaua sanaKama ipo tokea 2018 basi si hatari kivile tulivyoaminishwa.
Unamaanisha nje na nchi ulizozitaja hakuna nyingine iliyoweka lockdown....We vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya,Uganda,Rwanda,South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.