Ungetuwekea tujisomee/tusikie wenyewe aliyosema huyo Daktari.
Kwa hivi ulivyofanya hapa ni kutulisha matango tu na kumfanya huyo Daktari aonekane kama juha fulani kwa kusema maneno kama hayo.
Hawa mataga wanataka kuwaaminisha watu kuwa Tz pekee ndio hakukuwa na lockdown in all African countries...Unamaanisha nje na nchi ulizozitaja hakuna nyingine iliyoweka lockdown....
Straighten hoja yako usaidiwe majibu?
Kwa hiyo unataka nasi tumuelewe kama ulivyomwelewa wewe, bila ya uthibitisho wowote?Daktari tulikua tunaongea nae ana kwa ana, pia kuna post inayofuata nimeeleza maswali niliyomuuliza.
Kujidunga mixer?Kweli. Ninawafahamu angalau watu 11 walioipata na kupona baada ya kujidunga mixer za tangawizi, kitunguu swaumu, kitunguu maji, pilipili kichaa na limao. Hii kitu imetuspare waafrica. Wazungu hata flu tu huwaua sana
Siyo lazima ukubali alichokisema/ andika.Kwa hiyo unataka nasi tumuelewe kama ulivyomwelewa wewe, bila ya uthibitisho wowote?
Hata jina hana, hata machapisho yanayoweza kuonyesha mwelekeo wake huna? Tukubali tu kuwa Daktari alisema hayo uliyoyaandika?
Burundi mpaka kesho hata kipimo cha joto la corona hawakuweka na kazi ziliendelea kama kawaida!We vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya,Uganda,Rwanda,South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.
Hizo balozi zinapata wapi hizo taarifa? Kama sio hisia zao tuu.Mashirika ya Ndege ya kimataifa bado yanaitenga Tanzania ni Ndege chache za kimataifa zinakuja hapo Dsm, nyinyi mnasema corona haipo lakini ofisi za Balozi wana taarifa za kwenye jamii kote wanajua corona ipo kwa wingi.
Kwa hiyo unataka nasi tumuelewe kama ulivyomwelewa wewe, bila ya uthibitisho wowote?
Hata jina hana, hata machapisho yanayoweza kuonyesha mwelekeo wake huna? Tukubali tu kuwa Daktari alisema hayo uliyoyaandika?
Jana Russia iliondoa raia wake nchini, us,uk nk wameishaondoa watu wao. Sisi tuendelee kuimba na kumtukuza huyo yesu mpya ila ukweli bado ugonjwa upo na watu wanakufa sana ila haitangazwi. Maisha ni mali yako binafsi unaweza kuwachezea kamali kama utaona inafaa
Unazidi kuthibitisha ile tafiti ya twaweza kuwa ccm inawekwa madarakani na wajinga walio wengi sana nchiniwewe unasena watu wanakufa. mbona wewe ujafa. watoto wako wako shule hawajafa. mama yako yuko hajafa. mjomba. baba yako.
; shangazi, mke wako, jirani wote hajafa na corona. alafu unasema watu wanakufa.
Twambie wewe hizo nchi nyingine,hizo nyege ni za wapinzani mbona tumewazoea tu hamna jema nyie. Nasikia Konyagi tena imewatoa knockout!Hawa mataga wanataka kuwaaminisha watu kuwa Tz pekee ndio hakukuwa na lockdown in all African countries...
Tell me something... ina maana hii ni "blesseing" kwa Tanzania tu au duniani kote watu hivi sasa hawafi kwa corona?!Sina uhakika sana, ila ngoja niulize.
Je, nchini Tanzania watu wanakufa kama nzi waliopuliziwa dawa ya kuua wadudu?
Maana kwa hivi sasa sioni tahadhari zozote zile zilizopendekezwa zikichukuliwa na watu nchini Tanzania....
Marekani wamekufa laki na zaidi.Toka mwanzo na mpaka sasa, msimamo wangu kuhusu hii Corona ni sawasawa na ule wa Rais Magufuli.
Si ajabu pia, kuwa, msimamo wangu waweza kuwa ni mkali zaidi kushinda hata huo wa Rais Magufuli.
Yaani, COVID-19 si hatari kama tulivyoaminishwa. Tumelishwa matango pori.
Jana nilimwona Bernard Membe akienda kuchukua fomu za kugombea urais.
Alipofika hapo ofisini, akasalimiana na mtu kwa kushikana mikono. Sikuona watu wakiwa wamevaa upuuzi wa barakoa. Sikuona watu wakiwa wamekaa mbalimbali.
Wakina mama waliokuwepo walikuwa wakiimba. Inasemekana katika kuimba, vichembe chembe vya mate huwa vinaruka na hivyo kuwezesha kiurahisi maambukizi ya magonjwa mbalimbali.
Kipindi Corona inabamba, hawa watu wa kambi ya upinzani ndo walikuwa mstari wa mbele kumnanga Rais Magufuli kuhusu msimamo wake wa hivyo virusi.
Sasa hebu tazama video hii! Imekuwaje? Hao wapinzani sasa wamekubali kuwa Corona si hatari kivile?
Mpende au umchukie, kiukweli Magufuli kwa misimamo yake lazima umheshimu tu.
Tatizo sio hilo tatizo mlikejeli mkasaidiwa na kenya kuona jpm kakoseaWe vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.