HAWA WATU SIO WA KUCHEKA NAO

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?

MKAKA: Samahani sana….jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simu….aise saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifwate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu ntafutie mtoto mzuri nimumwagie midola niliyokuja nayo, ok ciao tuonane badae.
MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saa…..
MKAKA: Achana na mimi wewe

Ha ha ha ha haaaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Hadithi yako inatufundisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu hii haya mambo bado yapo kweli!!!? Mana hata ule msemo wa laki si pesa nimeanza kuusahau. Nasikia tu ijue nguvu ya buku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii chai yako ni ile ya kisabato, ya kukaanga sukari😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…