Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Salaam jamiiforum
Hope mko wazima kabisa.wenye matatizo Mungu atatia wepesi.
Leo tukumbushane na kuwatazama watu hawa hapa,aisee,hawa tuwape kongole zao.
1.Wanaokaa na kusomesha watu baki.
Kuna watu wana mioyo aisee,yaani unakuta mtu alimchukua binti mdogo kama mfanyakazi wa ndani,siyo ndugu wala jamaa lakini Kwa moyo wa mtu unakuta anaamua kumuendeleza kielimu.
2.Majirani wema
Unakuta mtu unapata tatizo, msiba na mengine lakini jirani anaamua kubeba jukumu zima utasema ule msiba au shida husika ni yake.
3.Wanaouguza muda mrefu
Hawa nao ni watu wenye moyo mkuu,
Unakuta mgonjwa hana pesa wala chochote lakini mtu anauguza Kwa kutenga bajeti ya matibabu, chakula na muda.
Yaani muda mwingine haendi kazini ukiangalia mgonjwa, aisee washukuriwe Sana
4.Wamiliki wa makambuni (CEO)
Hawa Wana kundi la watu wasio na ujuzi na pengine wameziba nafasi za wenye taaluma ,lakini Kwa mioyo Yao wameamua kutoa kazi ama kibarua Kwa mtu ambaye kajieleza juu ya hatima ya maisha yake. Washukuriwe mno.
Bonus.
5.Wanaowalipia Kodi mademu .
Unaweza kuona kama ni mchezo au utani lakini kiukweli mabinti wengine si Malaya kwasababu Wana watu maalumu wanawategemea, hebu fikiria mtu mwingine si tajiri lakini anajibana bana na kujinyima lengo amsitiri mtu ambaye hajamuoa,aisee tunawashukuru sana mna play part yenu vizuri.
Jioni njema