Hawa watu watu wakija kukutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana

Hawa watu watu wakija kukutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Wakikutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana sana.

1. Hamfrey Polepole wa katiba mpya na Hamfrey Polepole wa Magufuli.

2. Peter Msigwa wa CCM na Peter Msigwa wa CHADEMA.

3. Wilbrod Slaa wa Rais Magufuli na Wilbrod Slaa wa Rais Samia

4. Juma Nkamia wa kipindi cha Rais magufuli na Juma nkamia wa kipindi cha Rais samia.

Na wengine unaweza kuwaoroshesha hapo chini.
 
Makonda wa magufuli na Nape wa magufuli, Makonda wa Samia na Nape wa Samia!Hapo vipi?!
 
Back
Top Bottom