Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kwa hiyo mgombea binafsi upande wa rais ruksa tangu lini?3. Mch Mtikila.
Aliipigania demokrasia yeye peke yake wengine tukamuona mwehu.
Alifanikisha swala la mgombea binafsi kwenye nafas ya urais
Umeziacha wapi akili zako? naona vidole tu ndiyo vinafanya kazi. Kama humuelewi ZZK basi waweza kukosea hata kwenda chooni ukaenda jikoni kwa haja kubwaZito kabwe ndiye mchumia tumbo namba moja basi tu hujui
ThibitishaZito kabwe ndiye mchumia tumbo namba moja basi tu hujui
Weka facts ili kuipa nguvu tuhuma yako hii kwa faida ya wsomaji humu.Zito kabwe ndiye mchumia tumbo namba moja basi tu hujui
RIP mchungaji mtikila3. Mch Mtikila.
Aliipigania demokrasia yeye peke yake wengine tukamuona mwehu.
Alifanikisha swala la mgombea binafsi kwenye nafas ya urais
Alifanikisha kutukelea ukawa3. Mch Mtikila.
Aliipigania demokrasia yeye peke yake wengine tukamuona mwehu.
Alifanikisha swala la mgombea binafsi kwenye nafas ya urais
a3. Mch Mtikila.