Hawa wawekezaji wanakaba mpaka Penati!!!!!!!!!!!

Acheni waingize bidhaa poa kwenye soko la tz - wana vibali & kodi wanalipa
 
Mi nadhani waachwe tu walete bidhaa kwa bei ya chni na sisi walala hoi tununue. Heri hawa wachina kuliko wahindi wanao kwapua mpaka benki kuu!

Tabia za wachina ni chanaganyikeni, maisha ya kawaida kabisa wanayaweza. Hawa jibagui kama wahindi. Wakipewa nafasi za ajira, wataomba za ualimu, upolisi, uanajeshi, wafagia ofisi, wapishi nk nk. Hawabagui tena hata wakilipwa kiduchu hawabishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…