kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ni kuwapa tim tu wabaki nayo, waihudumie tuoneNimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji!
Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana maendeleo ya Simba!Naombeni wanachama tuungane kuwapinga hawa wazee njaa.J*nga sana hii mizee!
Aiseee niliwasikia Jana kwenye taarifa ya habari! Hata kama dewji anamapungufu yake ilikuwa sio busara kumjibu kwa kashfa namna ile!Nimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji!
Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana maendeleo ya Simba!Naombeni wanachama tuungane kuwapinga hawa wazee njaa.J*nga sana hii mizee!