Palikua na mawaziri na manaibuHii sinema mbona imeshindikana jamani.
Yani hapa wazee wa magomeni,mbagara,buguruni,kimara,tegeta,kigamboni,ilala,kinondoni na n.k mkoa wote kila tukiwapigia simu wanajiuliza wazee wana mkoa ambao raisi kaita kwa ghafla na hawa ndio wazee wajaze ukumbi .
View attachment 3510678
Mtu mwenye nyota ya kukubalika kila awamu na kila aina ya uongozi ni huyu Gwajigirl!Hii sinema mbona imeshindikana jamani.
Yani hapa wazee wa magomeni,mbagara,buguruni,kimara,tegeta,kigamboni,ilala,kinondoni na n.k mkoa wote kila tukiwapigia simu wanajiuliza wazee wana mkoa ambao raisi kaita kwa ghafla na hawa ndio wazee wajaze ukumbi .
View attachment 3510678
Ukiwaondoa akina masauni na ridhiwan na Dorothy Gwajima mawaziri wa Idi Amin mama, wenine ni wazee ambao hawakujiandaa kustaafu. Mwenyekiti wao Salum Matimbwa ni mbwa kama jina lake. Kwao ni m taa wa Msimbazi na Kipata nyumba ya kwanza ya urithi. Ni wa hoyo hakuna mfano. Wapo watatu wanaume wawili na binti mmoja japo mdogo wake Said ashakufa. Naye, alikuwa wa hovyo hakuna mfano. Ni matapeli wanaotumia uzee kuishi kwa kujigeuza au kugeuzwa na machawa. Mbona simuoni mzee Bakhresa, Bahroon, na wengine wengi wa Dar niwajuawao. Hata kaka yake Zungu wa barabara ya Uhuru simuoni. Ni maskini wa kunuka na matapeli waliofeli maisha hao.Hii sinema mbona imeshindikana jamani.
Yani hapa wazee wa Magomeni, Mbagala, Buguruni, Kimara, Tegeta, Kigamboni, Ilala, Kinondoni na n.k mkoa wote kila tukiwapigia simu wanajiuliza wazee wana mkoa ambao Raisi kaita kwa ghafla na hawa ndio wazee wajaze ukumbi .
View attachment 3510678
Mimi mwenyewe nimeshangaa mpaka mzee aliyekuwa komondo yoso naye kawa mzee wa darUkiwaondoa akina masauni na ridhiwan na Dorothy Gwajima mawaziri wa Idi Amin mama, wenine ni wazee ambao hawakujiandaa kustaafu. Mwenyekiti wao Salum Matimbwa ni mbwa kama jina lake. Kwao ni m taa wa Msimbazi na Kipata nyumba ya kwanza ya urithi. Ni wa hoyo hakuna mfano. Wapo watatu wanaume wawili na binti mmoja japo mdogo wake Said ashakufa. Naye, alikuwa wa hovyo hakuna mfano. Ni matapeli wanaotumia uzee kuishi kwa kujigeuza au kugeuzwa na machawa. Mbona simuoni mzee Bakhresa, Bahroon, na wengine wengi wa Dar niwajuawao. Hata kaka yake Zungu wa barabara ya Uhuru simuoni. Ni maskini wa kunuka na matapeli waliofeli maisha hao.
Mbuzi mbuziHii sinema mbona imeshindikana jamani.