Hawa wazee wanaojirudia madarakani tumekosa mbadala kweli?

Hawa wazee wanaojirudia madarakani tumekosa mbadala kweli?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Habari wananjamvi,

Sidhan wnavijana waliosoma wanafurahia kuona haya.

YAAN KUNA wakati unawaza inasoma ili iwe nn?

Unapambana kuwa mwanasiasa ili uwe nani

Na hii n kutokana na muendelezo wakuona baadhi ya wazee wakiwa wanaopishana tu pale juu Leo kaingia huku mwingine kule

Siku unahisi wanaondoka kahamia huku yule kaenda kule.

Nawaza tu tumekosa mbadala WA Hawa watu kweli??
 
Mwenye nacho uongezewa asie nacho unyang'anywa ata kile kidogo alicho nwcho
 
Back
Top Bottom