huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Wakumbushe mkuu maan hawa vichwa vyao vina kamasiYanga ilimkatia rufaa mchezaji mmoja wa African Lyon. Hadi leo hakuna majibu.
Kuanzia Haji Manara, Kaburu na Hans Poppe walibwata sana wakiitaka Yanga icheze mpira uwanjani.
Sasa issue ya Kagera Vs Simba ina tofauti ipi?. Au memory zetu zina 2 Bytes?
Mbona hii ya Kagera Vs Simba majibu yanatakiwa haraka sana?
Kama rufaa ya African Lyon bado kelele za nini? Si msubiri?Yanga ilimkatia rufaa mchezaji mmoja wa African Lyon. Hadi leo hakuna majibu.