Hawajui kinachoendelea Tanzania!

Hawajui kinachoendelea Tanzania!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania anatumika tu, wimbi lilianzia TZ, sasa limetua Kenya, linaendelea.

Tuombe Mungu Biden ashindwe Uchaguzi, Republican Conservative Christians wachukue Uongozi wa USA, Europe is lost tayari, ingawaje Italia wameanza kujitambua ngoja tuone hali itakavyokwenda, lkn Tanzania yetu siyo tena na kama itakuja kurudi Mungu ndiye anayejua, …

“it is well enough people of our nation don’t understand our banking and monetary system, for if they did, I believe there would be a revolution before tomorrow morning”- H.Ford!
 
Kunywa maji kwanza.

Kiini cha taarifa hii ni Kenya..tanzania..USA..Ufaransa..Biden au kitu gani?..kuwa specific.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania anatumika tu, wimbi lilianzia TZ, sasa limetua Kenya, linaendelea.

Tuombe Mungu Biden ashindwe Uchaguzi, Republican Conservative Christians wachukue Uongozi wa USA, Europe is lost tayari, ingawaje Italia wameanza kujitambua ngoja tuone hali itakavyokwenda, lkn Tanzania yetu siyo tena na kama iatakuja kurudi Mungu ndiye anayejua, …

“it is well enough people of our nation don’t understand our banking and monetary system, for if they did, I believe there would be a revolution before tomorrow morning”- H.Ford!
Hata Mimi Kuna kitu nakiona kinaendelea.....ilianza Euro na sasa Paundi ya Uingereza, pesa yenye nguvu inaporomoka kama uji wa muhogo! Mkuu kama itakupendeza tupe source za info zako tukajisomee wenyewe tuone!
 
Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania anatumika tu, wimbi lilianzia TZ, sasa limetua Kenya, linaendelea.

Tuombe Mungu Biden ashindwe Uchaguzi, Republican Conservative Christians wachukue Uongozi wa USA, Europe is lost tayari, ingawaje Italia wameanza kujitambua ngoja tuone hali itakavyokwenda, lkn Tanzania yetu siyo tena na kama itakuja kurudi Mungu ndiye anayejua, …

“it is well enough people of our nation don’t understand our banking and monetary system, for if they did, I believe there would be a revolution before tomorrow morning”- H.Ford!
Naona amendika ujinga pia ujazo mkubwa wa pumba
 
Back
Top Bottom