Hawakukosea waliposema duniani ni wawili wawili.

Hawakukosea waliposema duniani ni wawili wawili.

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Huyu ni mlimbwende aliyekuwa Big Brother UK.Hakuna haja ya kukueleza anafanana na nani, let the picture speaks for itself.

attachment.php
 
Attachments

  • Rachael-White.jpg
    Rachael-White.jpg
    58.7 KB · Views: 501
Huyu ni mlimbwende aliyekuwa Big Brother UK.Hakuna haja ya kukueleza anafanana na nani, let the picture speaks for itself.
SASA MUKUU HUYU NI NANI SI ESEME TUU:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:
 
Ofcoz haina haja ya kusema amefanana na nani Maybe Jay zee angeweza kusema huyo dada amefanana na nani.
 
Huyu mnyange ni mnene au mpana (kipi kiswahili sahihi) kuliko Beyonce. Alivoingia BB alikuwa anajiooooona alipoekwa kwene eviction akataka kujiattach na msela mmoja ili kupata support, jamaa akamtoa nduki.

BTW, maofuatilia hii BB imefikia wapi?
 
Kwa wale mnaosema kafanana na Sofia Simba ama Margreth Sitta hizi picha nyingine zinaweza kuwasaidia, zaidi ya hapo inabidi mumwone Optician..lol
 
Attachments

  • article-0-09F9D183000005DC-266_468x362.jpg
    article-0-09F9D183000005DC-266_468x362.jpg
    15.8 KB · Views: 147
  • article-1286686-0A006279000005DC-186_468x456.jpg
    article-1286686-0A006279000005DC-186_468x456.jpg
    30.4 KB · Views: 170
  • article-1286686-0A080F5E000005DC-468_468x321.jpg
    article-1286686-0A080F5E000005DC-468_468x321.jpg
    24.9 KB · Views: 123
  • 450d9854b968x355.jpg
    450d9854b968x355.jpg
    17 KB · Views: 119
  • 3f8bec9e9968x587.jpg
    3f8bec9e9968x587.jpg
    41.9 KB · Views: 106
  • article-0-09F87B2C000005DC-41_468x314.jpg
    article-0-09F87B2C000005DC-41_468x314.jpg
    23.8 KB · Views: 104
Mrembo huyu anaitwa Rachel White: Si mtu maarufu khivyo bali anataka umaarufu sana na kung'ang'ani vidume na vyenye hela. Ila ana mapozi mnuko huyu mpaka basi hata akiwa demu wako akikubenjulia midomo vile unaweza pia aisee
 
Huyu ni mlimbwende aliyekuwa Big Brother UK.Hakuna haja ya kukueleza anafanana na nani, let the picture speaks for itself.

attachment.php

Ungeweka picha mbili ili ku-justify dhana hiyo ya 'duniani wawili wawili'. Sasa wewe umetupa quizz inayohitaji picha mbili bila picha ya pili. Kwanza tufananishe nini - maana kama hizo nywele ni za dukani wengi wanazo!
 
Hivi kweli duniani wawili wawili kweli? Uwezekano hupo kwani tunachofanya baada ya Mungu kutuumba ni ku-swap genes.
 
Ungeweka picha mbili ili ku-justify dhana hiyo ya 'duniani wawili wawili'. Sasa wewe umetupa quizz inayohitaji picha mbili bila picha ya pili. Kwanza tufananishe nini - maana kama hizo nywele ni za dukani wengi wanazo!

D8B046D7688EF77EA5F970ADE6EE8A.jpg
 
Back
Top Bottom