Hawamtaki Bumbuli wanadai kawaaibisha Mwanza

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kwako Bumbuli. ombea sana kesho mshinde la sivyo mkifungwa wa kwanza raia wa utopoloni kushuka naye jumlajumla ni wewe

Umefanya press conference na Ahmed , ulishindwa kabisa kumpa makavu ya uhakika ndugu yangu ukawa unachekacheka tu wana yanga wamechukia sana

Umeonekana mtaani ukiwa umeshika speaker za mende na kunguni kuhamasisha mashabiki wakati hiyo ni style ya team masikini isiyojitambua. brand chapa GSM siyo ya kutembea mtaani na kupanda juu ya mafuso.

Yanga siyo ya kimaskini hivyo unaikosea brother, mwanza hakuna serena lakini ungeitisha press conference gold crest au malaika beach sehemu zenye hadhi ya yanga kuhamasisha mechi

Mashabiki wanadai huo mshahara wako bora uongezwe kwenye zile MILLIONS 9 KWA MWEZI anazolipwa semaji lisomi kuliko wote afrika mashariki na kati linalomiliki degrees mbili toka south africa na china, semaji lenye upeo na busara za hali ya juu

Mashabiki wanaomba uongozi umuondoe Bumbuli haraka na nafasi hiyo ishikwe na semaji lisomi kwani kwa sasa cheo chake kimekuwa kama cha uchawa wakati anafanya kazi nzuri ya kutunga majina ya utani ingawa kuhusu jina makolo wamesema atafute jina jingine kwani kwa kiswahili fasaha linaamanisha mjomba ikibidi aunde kamati chini ya jamaa aliyetoa jina la utopolo ili kutafuta jina jipya la makolo kwa msimu ujao

Soon semaji lenye degree mbili linaenda kula millions 15 kwa mwezi kutokana na kazi nzuri anayochapa, he works so hard..oh my Goooood.
 
Ila bumbuli yuko positive sana, nilimkubali sana kwenye ile interview yake alionesha maana halisi ya utani.

Angekuwa white aisee sijui ingekuwaje nadhani ndio sababu hata Ahmedy alimpa pongezi kwa hilo
 
Raia wanapenda vurugu na ma beef ya SOPE, angekaa mbali na ahmed wasigusane si unajua yule ni tajiri hapendi kukaa na maskini wanaovaa suti za bei rahisi
 
Kwako Bumbuli. ombea sana kesho mshinde la sivyo mkifungwa wa kwanza raia wa utopoloni kushuka naye jumlajumla ni wewe

Umefanya press conference na Ahmed , ulishindwa kabisa kumpa makavu ya uhakika ndugu yangu ukawa unachekacheka tu wana yanga wamechukia sana

Umeonekana mtaani ukiwa umeshika speaker za mende na kunguni kuhamasisha mashabiki wakati hiyo ni style ya team masikini isiyojitambua. brand chapa GSM siyo ya kutembea mtaani na kupanda juu ya mafuso.

Yanga siyo ya kimaskini hivyo unaikosea brother, mwanza hakuna serena lakini ungeitisha press conference gold crest au malaika beach sehemu zenye hadhi ya yanga kuhamasisha mechi

Mashabiki wanadai huo mshahara wako bora uongezwe kwenye zile MILLIONS 9 KWA MWEZI anazolipwa semaji lisomi kuliko wote afrika mashariki na kati linalomiliki degrees mbili toka south africa na china, semaji lenye upeo na busara za hali ya juu

Mashabiki wanaomba uongozi umuondoe Bumbuli haraka na nafasi hiyo ishikwe na semaji lisomi kwani kwa sasa cheo chake kimekuwa kama cha uchawa wakati anafanya kazi nzuri ya kutunga majina ya utani ingawa kuhusu jina makolo wamesema atafute jina jingine kwani kwa kiswahili fasaha linaamanisha mjomba ikibidi aunde kamati chini ya jamaa aliyetoa jina la utopolo ili kutafuta jina jipya la makolo kwa msimu ujao

Soon semaji lenye degree mbili linaenda kula millions 15 kwa mwezi kutokana na kazi nzuri anayochapa, he works so hard..oh my Goooood.
Luh!
Haji Manara ndio kafikia huku?
 
Bumbuli na Ahmed wale jamaa ni Profesional kabisa sio kama ile kitimoto isiyokuwa na elimu, na kwa taarifa za chinichini linafanya figisu ili lichukue hiyo nafasi ya Bumbuli pale utopoloni
 
Bumbuli ni afisa habari wa Yanga hivyo ni kitengo cha u professional tofauti na yule ropo ropo
 
Raia wanapenda vurugu na ma beef ya SOPE, angekaa mbali na ahmed wasigusane si unajua yule ni tajiri hapendi kukaa na maskini wanaovaa suti za bei rahisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Takadini km kawaida yakr, figisu, chuki, husda na roho mbaya ndo kwake, atamshusha soon, na venye ni food ya Don woiiiiiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha tuone.
 
Kwako Bumbuli. ombea sana kesho mshinde la sivyo mkifungwa wa kwanza raia wa utopoloni kushuka naye jumlajumla ni wewe

Umefanya press conference na Ahmed , ulishindwa kabisa kumpa makavu ya uhakika ndugu yangu ukawa unachekacheka tu wana yanga wamechukia sana

Umeonekana mtaani ukiwa umeshika speaker za mende na kunguni kuhamasisha mashabiki wakati hiyo ni style ya team masikini isiyojitambua. brand chapa GSM siyo ya kutembea mtaani na kupanda juu ya mafuso.

Yanga siyo ya kimaskini hivyo unaikosea brother, mwanza hakuna serena lakini ungeitisha press conference gold crest au malaika beach sehemu zenye hadhi ya yanga kuhamasisha mechi

Mashabiki wanadai huo mshahara wako bora uongezwe kwenye zile MILLIONS 9 KWA MWEZI anazolipwa semaji lisomi kuliko wote afrika mashariki na kati linalomiliki degrees mbili toka south africa na china, semaji lenye upeo na busara za hali ya juu

Mashabiki wanaomba uongozi umuondoe Bumbuli haraka na nafasi hiyo ishikwe na semaji lisomi kwani kwa sasa cheo chake kimekuwa kama cha uchawa wakati anafanya kazi nzuri ya kutunga majina ya utani ingawa kuhusu jina makolo wamesema atafute jina jingine kwani kwa kiswahili fasaha linaamanisha mjomba ikibidi aunde kamati chini ya jamaa aliyetoa jina la utopolo ili kutafuta jina jipya la makolo kwa msimu ujao

Soon semaji lenye degree mbili linaenda kula millions 15 kwa mwezi kutokana na kazi nzuri anayochapa, he works so hard..oh my Goooood.
Unakuaga kama punga vi thread vyangu kike kike tu
 
Wewe ni takataka kama zilivyo takataka nyingine tu, una mambo ya kike kike sana wewe sijui ni jinsia gani
 
Takadini km kawaida yakr, figisu, chuki, husda na roho mbaya ndo kwake, atamshusha soon, na venye ni food ya Don woiiiiiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha tuone.
Hapa kuna tuhuma nzito.
 
Back
Top Bottom