Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
huyo jaji ndo yule alikuwa wakili wa lulu? Joaquine De-Mello?
[MENTION]LD[/MENTION]
labda anaangalia masilahi ya mtoto/watoto wapate malezi ya baba pia kwa
hiyo yeye anajitoa kafara kwa hilo.............
BADILI TABIA Bi jaji alivyokufa kwa kidume unafikiri ugali atamnyima kama siyo kumkabidhi waote aupangie matumizi aonavyo ili mradi kidume amkubali tu?
Kafara hilo linamhusu mama tu! Baba mbona hakujitoa kafara au yeye si mzazi? Na anarudishwa na hicho cheo kikiisha na ndoa kwishnei.
then namhurumia huyo dada....
ujinga wake ndo kula ya mwenzie....
Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji
RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello ambaye alikuwa akimtetea msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) anayetuhumiwa kwa mauaji ya msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Wakili huyo, ambaye ni mshindi wa tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania ya Martin Luther King ya mwaka 2012 na ambaye alikuwa pia alikuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) ni miongoni mwa majaji 10 walioapishwa jana na Rais Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
De-Mello ni miongoni mwa mawakili wanne waliojitokeza Aprili mwaka huu kumtetea Lulu katika kesi hiyo ya mauaji inayomtuhumu kumuua usiku wa kuamkia Aprili 7, mwaka huu.
Mawakili wengine wanaomtetea Lulu ambaye umri wake umekuwa na utata ni Kennedy Fungamtama, Peter Kibatala na Fulgence Massawe.
Akizungumza kwenye viwanja vya Ikulu, De-Mello alisema baada ya kuteuliwa kuwa Jaji, sasa atafanya kazi hiyo na moja ya mikakati yake ni kukabiliana na changamoto za wingi wa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
Rutashubanyuma hapo ni ku sit back na kuangalia how its gonna work out really.............watoto wata benefit in some way but not necessarily, how? Kama una baba wa namna hii though he is there physically but serving his own interest kweli ana manufaa kwa watoto? malezi wise
Rutashubanyuma hapo ni ku sit back na kuangalia how its gonna work out really.............watoto wata benefit in some way but not necessarily, how? Kama una baba wa namna hii though he is there physically but serving his own interest kweli ana manufaa kwa watoto? malezi wise
hakuna cha tamati Rutashubanyuma! miaka mi5 halafu bado tu upo moyoni mwangu, haiwezekani hata kidogo! na hata hao watoto watakuwa wameshazoea kulelewa na mama tu, so sioni tatizo hapo.