Wakuu nilibahatika kuwakuta ndugu wawili wakizozana, mkubwa akimlaumu mdogo kwa kumjengea nyumba small haouse wake wakati mkubwa anasema huo ni upuuzi. Hoja ya mkubwa ni kuwa nyumba umempa kitu cha kudumu ambacho hatakuwa akikutegemea tena ilhali gari lazima awe tegemezi hivyo hawezi kukuacha kirahisi.
Naomba nililete kwetu mliangalie katika pande zote mbili za sarafu.
Nawasilisha wakulu wange:angry: