Hawataki tuachane hata baada ya mimi kuoa

sidhani kama ukisimama kidete na kusema hutaki upuuzi nao tena kama wataendelea kukusumbua,unawaendekeza na wewe ebo!!
 

Una pepo, wajinga wanakushindaje kama siyo wewe kuwapa ruksa ya kukupanda kichwani? Badili tabia, hata tukikushauri bado akili yako iko kwao.
 
we endelea kula vichwa... c vinajileta vyenyewe
 
Bado unafanya recruitment ya wanawake wapya? Manake naona unajipiga promo tu hapa. Ukihitaji small house nistue basi!
 
Haya wadada wa JF jamaa inajipigia Ma Advert hapa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…