Hawatakuja kupata mrithi wa mambo waliyofanya uwanjani mpaka mwisho wa dunia

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Mara ya mwisho kubiga ukunga kwa furaha wakati naangalia mpira basi ilikuwa ni world cup 2006 wakati zinedine akifanya mambo yake uwanjani...kwa miaka ya nyuma nilipatwa na furaha..sitosahau nilipomwona ZINEDINE ZIDANE akimgeuza DAVID BECKHAM kwa chenga uwanjani kama mdoli..nilipiga yowe..

Sitosahau pale ROBERTO CARLOS alimpokatwa ba DAVID BECKHAM uwanjani yeye akalipiza kwa kumpiga kanzu mbili wanjani mwaka 2002 kwenye klabu bingwa..

Sitomsahau RONALDO DELIMA alivomteza OLIVER KHAN world cup fainal 2002..two goal..
Sitomsahau luis figo harakati zake za panda shuka akiwa barcelona..
Sitomsahau carlos beki tatu iliyokuwa inapanda kuliko ata kiungo mshambuliaji..

Ronaldinho gaucho...hatosahaulika kwa goli la umbali world cup alipomfumua DAVID SEAMAN..kipa wa uingereza...
SITOMSAHAU ANDIES INIESTA katika ubora wake gusagusa zake..hasa pale alipoiua uholanzi 2010 world cup.

Mwisho ni GABRIEL BATISTUTA ..ni mtu ambae alikuwa na nguvu ka tembo.alikuwa anatisha..akiwa na fiorentina ya italy..nilikuwa nafurahia soka sana...

LEO HII TUNAAMINISHWA HAWA WAJAMAA WAWILI WAREMBO MESSI NA RONALDO KUWA NI BORA KWANGU MIMI NINAONA BADO..WANAJITAHIDI KWA UPANDE WAO ILA HAWAEZI PITA NYAYO ZA HAO WAJAMAA HAO HAPO JUU KAMA RONALDIHNO...ZIDANE NA RONALDO DELIMA NA BATISTUTA..NEVER..

View attachment 403055
1474277609039.jpg
 
Lionel Messi ni wa Sayari ingine! Maana wengi wa hao uliowataja wewe wamehojiwa kwa vipindi tofauti na waandishi,wachambuzi mahiri wa michezo duniani wamemkubali Messi na kukiri uwezi wake si wa kawaida na sio hao tu hata gwiji wa soka duniani Pele anamkubali..fuatilia makocha wakubwa wa soka wa dunia comments zao juu ya Messi usikie wengi walichosema.
 
Hata katika zama za akina Ronaldo De Lima, bado Messi angeemdelea kung'ara kama ilivyo hivi sasa. nijuacho ni kuwa Christian Ronaldo ndiyo asingeng'ara.
Pamoja na hayo, ieleweke kuwa kuna wachezaji ambao wangeng'ara katika zama zile lakini mfumo wa zama hizi umewaficha kabisa, kati ya hao ni Zlatan Ibrahimovic.
Pia ukumbuke kuna watu hawafunikwi na mifumo wao muda kwao wanaangaziwa namwanga wa taa za treni au zile za airport watu hawa ni kama Maradona, Pele, Messi, Ronaldo de Lima, Roberto Carlos, Makelele, Paul Gosgoine Gazza, Claude Makelele, Terry Butcher, Bobby Charlton, Claudio Canigia, Zamoyoni Mogella na wengineo wengi wa aina yao
 
Mara ya mwisho kubiga ukunga kwa furaha wakati naangalia mpira basi ilikuwa ni world cup 2006 wakati zinedine akifanya mambo yake uwanjani...kwa miaka ya nyuma nilipatwa na furaha..sitosahau nilipomwona ZINEDINE ZIDANE akimgeuza DAVID BECKHAM kwa chenga uwanjani kama mdoli..nilipiga yowe..

Sitosahau pale ROBERTO CARLOS alimpokatwa ba DAVID BECKHAM uwanjani yeye akalipiza kwa kumpiga kanzu mbili wanjani mwaka 2002 kwenye klabu bingwa..

Sitomsahau RONALDO DELIMA alivomteza OLIVER KHAN world cup fainal 2002..two goal..
Sitomsahau luis figo harakati zake za panda shuka akiwa barcelona..
Sitomsahau carlos beki tatu iliyokuwa inapanda kuliko ata kiungo mshambuliaji..

Ronaldinho gaucho...hatosahaulika kwa goli la umbali world cup alipomfumua DAVID SEAMAN..kipa wa uingereza...
SITOMSAHAU ANDIES INIESTA katika ubora wake gusagusa zake..hasa pale alipoiua uholanzi 2010 world cup.

Mwisho ni GABRIEL BATISTUTA ..ni mtu ambae alikuwa na nguvu ka tembo.alikuwa anatisha..akiwa na fiorentina ya italy..nilikuwa nafurahia soka sana...

LEO HII TUNAAMINISHWA HAWA WAJAMAA WAWILI WAREMBO MESSI NA RONALDO KUWA NI BORA KWANGU MIMI NINAONA BADO..WANAJITAHIDI KWA UPANDE WAO ILA HAWAEZI PITA NYAYO ZA HAO WAJAMAA HAO HAPO JUU KAMA RONALDIHNO...ZIDANE NA RONALDO DELIMA NA BATISTUTA..NEVER..

View attachment 403055View attachment 403056

mleta uzi upo seriously kweli? Au utoto unakusumbua????

MODS,INVISIBLE, TAFADHALINI ONDOENI HARAKA HUU UZI.
 
Back
Top Bottom